Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Fataawaa: Swalaah Ya 'Iyd Na Siku Ya 'Iyd > 09-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Ikiwa Mtu Itampita Kitu Katika Takbiyrah Za ‘Iyd

09-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Ikiwa Mtu Itampita Kitu Katika Takbiyrah Za ‘Iyd

Ikiwa Mtu Itampita Kitu Katika Takbiyrah Za ‘Iyd

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Yatamuondokea (hayatompasa) yale yaliyompita, na hivyo hivyo kama vile akisahau au    mpaka akafikia kusoma (Suwrah) basi haleti tena (harudii tena), kwa sababu Sunnah imepita mahali pake Lakini ikiwa imempita pamoja na Imaam Rakaa kamili basi inabidi alete Takbiyrah za Rakaa hiyo iliyompita.

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (16/241)]

 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/8649

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F8649&title=09-Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Ikiwa%20Mtu%20Itampita%20Kitu%20Katika%20Takbiyrah%20Za%20%E2%80%98Iyd