Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 01-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كِتَابُ اَلطَّهَارَةِ - Kitabu Cha Twahara > 008-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Mlango Wa Twahara: Najsi Zinazosamehewa

008-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Mlango Wa Twahara: Najsi Zinazosamehewa

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

Mlango Wa Twahara

 

008-Najsi Zinazosamehewa

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

Kuna kauli mbalimbali za Maulamaa kuhusu aina na kiasi cha najsi ambayo inaweza kuingia katika nguo, au mahala, au mwilini na inakuwa ni yenye kusamehewa.  Isipokuwa kidhibiti cha najsi zinazosamehewa ni udharura, kuenea kwa wingi, kuwa ni vigumu kujikinga nayo, na kuwepo tabu na uzito mkubwa katika kuiondosha. [Al-Fiqh Al-Islaamiy wa Adillatuhu (169 – 177)].

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/9534

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9534&title=008-Swahiyh%20Fiqh%20As-Sunnah%3A%20Mlango%20Wa%20Twahara%3A%20Najsi%20Zinazosamehewa