Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 01-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كِتَابُ اَلطَّهَارَةِ - Kitabu Cha Twahara > 035-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Mlango Wa Twahara: Kupaka Juu Ya Vizuizi

035-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Mlango Wa Twahara: Kupaka Juu Ya Vizuizi

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

Mlango Wa Twahara

 

035-Kupaka Juu Ya Vizuizi 

 

Kwanza: Kupaka Juu Ya Khufu Mbili

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

Taarifu yake: Khufu ni viatu vya ngozi vinavyofunika visigino viwili. [Nayl Al-Awtwaar (1/241)].

 

Na kupaka kilugha ni kisoukomo (masdwar) cha kitenzi cha “amepaka”, nako ni kuupitisha mkono juu ya kitu kwa kuukunjua. [Al-Qaamuws Al-Muhiyt na Maqaayiys Al-Lughah].

 

 Na kupaka juu ya khufu mbili maana yake ni kuitia umajimaji khufu maalumu katika wakati na mahala maalumu badala ya kuosha miguu miwili wakati wa kutawadha. [Ad-Durru Al-Mukhtaar].

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/9599

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9599&title=035-Swahiyh%20Fiqh%20As-Sunnah%3A%20Mlango%20Wa%20Twahara%3A%20Kupaka%20Juu%20Ya%20Vizuizi%20