Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Kwa Ujumla > 12-Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Mifano Ya Ukarimu Wake: Akitoa Bila Kukhofia Umasikini

12-Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Mifano Ya Ukarimu Wake: Akitoa Bila Kukhofia Umasikini

Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy  (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

12-Mifano Ya Ukarimu Wake: Akitoa Bila Kukhofia Umasikini

 

www.alhidaaya.com [1]

 

 

 

Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akitoa swadaqah kila mara bila ya kukhofu umasikini:

 

 

 

عَنْ مُوسَى بْنِ أَنَسٍ، عَنْ أَبِيهِ، قَالَ: مَا سُئِلَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم عَلَى الإِسْلاَمِ شَيْئًا إِلاَّ أَعْطَاهُ. قَالَ: فَجَاءَهُ رَجُلٌ فَأَعْطَاهُ غَنَمًا بَيْنَ جَبَلَيْنِ فَرَجَعَ إِلَى قَوْمِهِ فَقَالَ: "يَا قَوْمِ أَسْلِمُوا فَإِنَّ مُحَمَّدًا يُعْطِي عَطَاءً لاَ يَخْشَى الْفَاقَةَ"

Imepokelewa kutoka kwa Muwsaa bin Anas kutoka kwa baba yake kwamba: Hakupata kuombwa kitu Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kwa ajili ya Uislamu isipokuwa alitoa.”  Akasema:  “Alimjia mtu akampa kundi la mifugo ya (kondoo na mbuzi). Akarudi kwa watu wake na kusema: “Enyi watu wangu! Silimuni katika Uislamu kwani Muhammad anatoa swadaqah bila ya kukhofia ufukara.” [Muslim]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/9719

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9719&title=12-Sifa%20Na%20Akhlaaq%20Za%20Nabiy%20%28%D8%B5%D9%84%D9%89%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%20%D8%B9%D9%84%D9%8A%D9%87%20%D9%88%D8%A2%D9%84%D9%87%20%D9%88%D8%B3%D9%84%D9%85%29%3A%20Mifano%20Ya%20Ukarimu%20Wake%3A%20Akitoa%20Bila%20Kukhofia%20Umasikini