Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Hiswnul-Muslim: Du’aa Na Adhkaar Kusoma Na Kwa Kusikiliza (Toleo Lilohaririwa) > 029-Hiswnul-Muslim: Du’aa Unapojigeuzageuza Usingizini Usiku

029-Hiswnul-Muslim: Du’aa Unapojigeuzageuza Usingizini Usiku

Hiswnul-Muslim

029-Du’aa Unapojigeuzageuza Usingizini Usiku

www.alhidaaya.com [1]

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize [2]

 

 

[112]

لا إِلـهَ إِلاّ اللهُ الـواحِدُ القَهّـار، رَبُّ السَّـمواتِ وَالأرْضِ وَما بَيْـنَهـما، العَزيـزُ الغَـفّار

 

Laa ilaaha illa-Allaahul-Waahidul-Qahhaar. Rabbus-samawaati wal ardhwi wamaa baynahumaal-’Aziyzul-Ghaffaar.

 

Hapana mwabudiwa wa haki ila Allaah  Mmoja Pekee, Mshindi Mwenye kudhibiti na kudhalilisha, Rabb wa mbingu na ardhi na vilivyo kati yake, Mwenye enzi ya nguvu Asiyeshindika daima, Mwingi wa kughufuria.[1]

 

 

 

[1]Hadiyth ya ‘Aaishah (رضي الله عنها) Asome hivyo pale anapojigeuzageuza kuhangaika kupata usingizi) - Al-Haakim na ameisahihisha Adh-Dhahabiy (1/540), An-Nasaaiy katika ‘Amal Al-Yawm wal-Laylah [864] na ibn As-Sunniy katika ‘Amal Al-Yawm wal-Laylah [757]. Na angalia: Swahiyh al-Jaami’ (4/213) [4693].

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/9761

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] http://www.alhidaaya.com/swahili/duaa_adhkaar/index.php?file=./Hiswnul%20Muslim%20Kwa%20Sauti/029-Duaa%20Unapojigeuzageuza%20Usingizini%20Usiku.mp3
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9761&title=029-Hiswnul-Muslim%3A%20Du%E2%80%99aa%20Unapojigeuzageuza%20Usingizini%20Usiku%20