Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Hiswnul-Muslim: Du’aa Na Adhkaar Kusoma Na Kwa Kusikiliza (Toleo Lilohaririwa) > 050-Hiswnul-Muslim: Fadhila Za Kumtembelea Mgonjwa

050-Hiswnul-Muslim: Fadhila Za Kumtembelea Mgonjwa

Hiswnul-Muslim

050-Fadhila Za Kumtembelea Mgonjwa

www.alhidaaya.com [1]

 

Bonyeza Hapa Usikilize [2]

 

 

[149]

 

 

قَالَ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: ((إِذَا عَادَ الرَّجُلُ أَخَاهُ المُسْلِمَ مَشَى فِي خِرَافَةِ الجَنَّةِ حَتَّى يَجْلِسَ فَإِذَا جَلَسَ غَمَرَتْهُ الرَّحْمَةُ، فَإِنْ كَانَ غُدْوَةً صَلَّى عَلَيْهِ سَبْعُوْنَ أَلْفَ مَلَكٍ حَتَّى يُمْسِيَ، وَإِنْ كَانَ مَسَاءً صَلَّى عَلَيْهِ سَبْعُوْنَ أَلْفَ مَلَكٍ حَتَّى يُصْبِحَ)).

 

Amesema (صلى الله عليه وسلم): ((Mtu anapomtembelea ndugu yake Muislamu mgonjwa basi hutembelea katika bustani ya Jannah mpaka atakapoketi, na anapoketi hufunikwa na Rehma ikiwa ni asubuhi wanamtakia Rehma Malaika sabini elfu mpaka jioni. Na ikiwa ni jioni wanamtakia Rehma Malaika sabini elfu mpaka asubuhi))[1]

 

 

 


[1]Hadiyth ya ‘Aliy bin Abi Twaalib (رضي الله عنه), At-Tirmidhiy [969] Ibn Maajah [1442], Ahmad (1/97). Na angalia: Swahiyh Ibn Maajah (1/244) na Swahiyh At-Tirmidhiy (1/286), na ameisahihisha pia Ahmad Shaakir.

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/9782

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] http://www.alhidaaya.com/swahili/duaa_adhkaar/index.php?file=./Hiswnul%20Muslim%20Kwa%20Sauti/050-Fadhila%20Za%20Kumtembelea%20Mgonjwa.mp3
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9782&title=050-Hiswnul-Muslim%3A%20Fadhila%20Za%20Kumtembelea%20Mgonjwa