Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Hiswnul-Muslim: Du’aa Na Adhkaar Kusoma Na Kwa Kusikiliza (Toleo Lilohaririwa) > 110-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ukisikia Mlio wa Jogoo Au Wa Punda

110-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ukisikia Mlio wa Jogoo Au Wa Punda

Hiswnul-Muslim

110-Du’aa Ukisikia Mlio wa Jogoo Au Wa Punda

www.alhidaaya.com [1]

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize [2]

 

 

[228]

 

قال رسول صلى الله عليه وسلم: ((إِذَا سَمِعْتُمْ صِيَاحَ الدِّيَكَةِ فَاسْأَلُوا اللَّهَ مِنْ فَضْلِهِ؛ فَإِنَّهَا رَأَتْ مَلَكاً، وَإِذَا سَمِعْتُمْ نَهِيقَ الْحِمَارِ فَتَعَوَّذُوا بِاللَّهِ مِنَ الشَّيْطَانِ؛ فَإِنَّهُ رَأَى شَيْطَاناً))

Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم) amesema: ((Mkisikia mlio wa jogoo muombeni Allaah fadhila Zake kwani huwa amemuona Malaika. Na mkisikia mlio wa punda basi ombeni kinga kwa Allaah, kwani huwa amemuona shaytwaan))[1]

 

 

 

 


[1]Hadiyth ya Abu Hurayrah (رضي الله عنه) - Al-Bukhaariy pamoja na Al-Fat-h (6/350) [3303], Muslim (4/2092) [2729].

 

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/9843

Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] http://www.alhidaaya.com/swahili/duaa_adhkaar/index.php?file=./Hiswnul%20Muslim%20Kwa%20Sauti/110-Duaa%20Ukisikia%20Mlio%20wa%20Jogoo%20Au%20Wa%20Punda.mp3
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9843&title=110-Hiswnul-Muslim%3A%20Du%E2%80%99aa%20Ukisikia%20Mlio%20wa%20Jogoo%20Au%20Wa%20Punda