Imaam Ibn Taymiyyah: Kila Shari Ulimwenguni Na Fitnah Na Balaa Ni Kwa Sababu Ya Kukhalifu Sunnah Na Kulingania Kwa Asiyekuwa Allaah

 Kila Shari Ulimwenguni Na Fitnah Na Balaa Ni Kwa Sababu Ya Kukhalifu Sunnah Na Kulingania Kwa Asiyekuwa Allaah

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Amesema Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah): 

 

"Na kila shari ulimwenguni na fitnah na balaa na ukame na njaa na kusalitishiwa adui na mengine yasiyokuwa hayo, ni kwa sababu ya kukhalifu Sunnah ya Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi sallam) au kulingania kwa asiyekuwa Allaah."

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (15/65)]

 

 

Share