Maoni Yenu, Na Kuhusu Maswali, Fataawaa, Makala Na Mengineyo
Maoni Yenu:
Tutashukuru kupokea maoni yenu, pamoja na kututanabahisha kasoro au makosa yoyote yale, na tutajitahidi kuyafanyia kazi kwa Tawfiyq ya Allaah Subhaanahu wa Ta’alaa.
Maswali:
Kwa sasa, tumesita kupokea Maswali, lakini Maswali mengi mno yamejibiwa na ambayo huenda yakawa yanafanana na maswali unayotaka kuuliza. Kwa hiyo tafuta kama ifuatavyo: Katika ukurasa wa kwanza (Home Page) juu kabisa kuna sehemu ya: ‘Tafuta’ Andika hapo neno au maneno machache yanayohusu Swali lako, au Makala unayotafuta., hapo basi vitatokeza viungo (links) kadhaa vyenye maudhui zinazohusiana na unachokitafuta, utabonyeza hivyo viungo
Ahsanteni. Wasiliana nasi kupitia webmaster@alhidaaya.com