Hiswnul-Muslim
042-Du’aa Ya Aliyeingiwa Na Wasiwasi Katika Swalaah Yake Au Kisomo Chake
[138]
أَعُوذُ بِاللَّهِ مِنَ الشَّيْطانِ الرَّجِيْمِ
Au’wudhu biLLaahi minash-shaytwaanir-rajiym
Najikinga na Allaah kutokana na shaytwaan aliyelaaniwa. (Kisha utatema vijimate vichache upande wa kushoto mara tatu)[1] [yaani kama mwenye kupuliza].
[1]Hadiyth ya ‘Uthmaan bin Abi Al-‘Aasw (رضي الله عنه) amesema: “Nilimwambia Rasuli (صلى الله عليه وسلم): Ee Rasuli wa Allaah hakika Shaytwaan amenikalia kati yangu na kati ya Swalaah yangu na kisomo changu, ananitatiza. Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم) akasema: ((Huyo ni Shaytwaan aitwae Khanzab ukimuhisi amekujia basi muombe Allaah kinga kutokana na [wasiwasi] naye, na tema vijimate vichache kushotoni kwako mara tatu)) Akasema: ”Nikafanya hivyo Allaah akaniondoshea” - Muslim (4/1729) [2203].
Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] http://www.alhidaaya.com/swahili/duaa_adhkaar/index.php?file=./Hiswnul%20Muslim%20Kwa%20Sauti/042-Duaa%20Ya%20Aliyeingiwa%20Na%20Wasiwasi%20Katika%20Swalaah%20Yake%20Au%20Kisomo%20Chake.mp3
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9774&title=042-Hiswnul-Muslim%3A%20Du%E2%80%99aa%20Ya%20Aliyeingiwa%20Na%20Wasiwasi%20Katika%20Swalaah%20Yake%20Au%20Kisomo%20Chake