Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Mtu Aliyetubia Dhambi Asitaje Dhambi Zake Kwa Watu Bali Ajisitiri

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Mtu Aliyetubia Dhambi Asitaje Dhambi Zake Kwa Watu Bali Ajisitiri

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn [1]

Mtu Aliyetubia Dhambi Asitaje Dhambi Zake Kwa Watu

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com [2]

 

 

 

Imaan Ibn Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

Haifai kwa mtu aliyetenda dhambi na akatubia kutokana na dhambi hiyo, kisha kumuambia mtu kuwa yeye alifanya dhambi, kwani kufanya hivyo ni kuikashifu stara ya Allaah (‘Azza wa Jalla) kwako.

 

[Fataawaa Muhammad bin Swaalih Al-‘Uthaymiyn (1/14)]                  

 

Share [3]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10920

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/206
[2] http://www.alhidaaya.com/
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10920&title=Imaam%20Ibn%20%27Uthaymiyn%3A%20Mtu%20Aliyetubia%20Dhambi%20Asitaje%20Dhambi%20Zake%20Kwa%20Watu%20Bali%20Ajisitiri