Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Tahadhari Na Kuapia Visivyopaswa Kuapia! Mfano Kusema: “Kwa Haki Ya Allaah Na Rasuli Wake

Tahadhari Na Kuapia Visivyopaswa Kuapia! Mfano Kusema: “Kwa Haki Ya Allaah Na Rasuli Wake

Shirki-Kufru [1]

 

Tahadhari Na Kuapia Visivyopaswa Kuapia!

 

Mfano Kusema: “Kwa haki ya Allaah na Rasuli Wake.”

 

 

Alhidaaya.com [2]

 

 

Mfano Kusema: “Kwa haki ya Allaah na Rasuli Wake.”

 

Au:

 

“Kwa haki ya Muhammad.”

 

Imeharamishwa kuapia kwa chochote kile au kuapia kwa kumtaja kiumbe chochote, hata kama ni Manabii wa Allaah, isipokuwa kuapia kwa kumtaja Allaah Pekee.  

 

 

Na pia haijuzu kabisa kuapia kwa: Mswahafu, Ka’bah, kuapia kwa kutaja wazazi na vinginevyo.

 

Bonyeza viungo vifuatavyo kupata faida ziyada:

 

 

15-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Kuapa Kwa Asiyekuwa Allaah [3]

 

124-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Anayeapa Kwa Asiyekuwa Allaah Amekufuru [4]

 

 

 

 

 

 

 

Share [5]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11935

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/243
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/
[3] https://www.alhidaaya.com/sw/node/7271
[4] https://www.alhidaaya.com/sw/node/6625
[5] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11935&title=Tahadhari%20Na%20Kuapia%20Visivyopaswa%20Kuapia%21%20Mfano%20Kusema%3A%20%E2%80%9CKwa%20Haki%20Ya%20Allaah%20Na%20Rasuli%20Wake