Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Vitabu [1]

 

 

 

Misamiati (Maneno) Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Alhidaaya.com [2]

 

 

 

1-Kazi hii ni pana mno, hivyo ni kazi ya kuendelezwa kuwekwa misamiati (maneno) kila tunapojaaliwa uwezo wa kukusanya.

 

2-Baadhi ya misamiati haya, ambayo yamezoleka katika jamii ya Kiswahili, yametumika katika Tarjama ya Qur-aan ya Alhidaaya.

 

3-Misamiati hii inapatikana katika Kamusi mbalimbali baadhi yao ni zifuatazo:

 

  • Kamusi Ya Kiswahili Sanifu – Tuki
  • Kamusi Ya Visawe    
  • English Coastal Swahili Dictionary
  • English-Swahili Dictionary – Tuki

 

 

 

           

 

Share [3]

A-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Alhidaaya.com [4]

 

A

Neno

Maana

 

Kiarabu

 

Aakhirah

Akhera, Siku ya Mwisho

آخرة

aali/a’laa

bora kabisa, adhimu, tukufu

العلي/الأعلى

abadi

daima, milele, kamwe, katu

أبدا

abdi (Sing)

abidi (Plur)

 

mtumwa au mja wa Allaah

عبد/عباد

abuwabi

milango

أبواب

abyadhi

baidhati/eupe

أبيض

adhabu

adhabu, mateso.

 

عذاب

adhimu

enye sifa/liyotukuka, tukufu/aali/Jalili, kubwa mno.

 

Jina na Sifa ya Allaah ('Azza wa Jalla): Mkubwa, Mtukufu Mno.

 

عظيم

afriti

jini mbaya anayedhuru watu

عفريت من الجن

afwaji

kikundi cha watu.

  أفواجا

ajili

harakisha

أجل

ajmaina

pamoja, wote

أجمعون

akhirisha

kuchelewecha

أخر

akili

akili, bongo.

عقل

alamina

ulimwengu, walimwengu.

عالمين

ansari

mnusuraji, msaidizi

أنصار/ أنصاري

ardhi

ardhi, nchi

ارض

aridhi

mabadiliko katika hali ya mwili au akili ya mtu, kukengeuka, kugeukilia mbali jambo, kupuuza.

عرض

arifu

taarifa, kutaarifu, kujulisha

عرف

arshi

-‘Arshi ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) iliyokuweko juu baada ya mbingu saba.

 

-kiti cha enzi cha mfalme au mtawala. 

 

عرش

arzaki

wingi wa riziki

أرزاق

asaa

huenda, pengine, labda

عسى

ashirafu, karimu

tukufu, ukarimu, taadhima.

كريم

ashiya

jioni, usiku

عشية

asighari

ndogo kabisa

أسغر

asilani

kamwe, abadani, katu, kiuhalisi

أصلا

asira

mateka

أسرى/ أسير

asisi

kuanzisha jambo au kitu

أسس

ati! eti!

neno la kutanabahisha jambo kumfanya mtu asikilize. Neno la kukanusha jambo kwa mshangao.

 

ألا

atia

zawadi/kipawa

عطاء

atibu

toa makosa, kengemeka, shutumu.

 

يستعتبون

atifali

watoto wadogo

أطفال

auladi

watoto wa kiume

أولاد

awlaa

bora zaidi, kiupambele

أولى

azimia

kuazimia kutenda jambo.

عزم

insi

binaadamu, mwanaadamu, mtu

الإنس

istahabu

kupendekezeka, kuhiari, kupendelea

أستحبوا

istihizai

isthizai, kejeli.

إستهزاء

istiimaar

utaratibu ambao nchi moja hutawal  nchi nyengine kama koloni.

إستعمار

umuri

mambo

أمور

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [5]

B-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

 B

Neno

Maana

Kiarabu

baathi

kufufuliwa viumbe Siku ya Qiyaamah

بعث

 badhiri

kuzidisha kufanya israfu khasa kwa ajili ya kujionyesha au kujifakharisha.

بذر/ تبذير

 baghala

nyumbu

بغل

 bahaimu

mnyama mwenye miguu minne

بهيمة

 bahasa

bei ndogo, rahisi

بخس

 bai

chagua mtu na kumpa uongozi, unga mkono mtu kwa kitendo anachotaka kukifanya, kuahidi kumfuata kiongozi katika kuongoza kwake.

بيعة

baidika

kuweko mbali

بعد/بعيد

bairi

aina ya ngamia

بعير

baiti

nyumba

بيت

bakari

ng’ombe

بقرة

balagha

 

baleghe

1-kubalighisha jambo, kufikisha khabari, ujumbe.

2-kubaleghe, mvulana na msichanga kufikia umri wa upevu.

بلغ  - بلاغ

banati

wasichana

بنات

barasi

aina ya ugonjwa wa ngozi.

برص

barasi

ukoma

برص

barazahi

maisha ya baada ya kufariki; kaburini hadi Siku ya kufufuliwa Siku ya Qiyaamah.

برزخ

batili

kubatilisha, kulifanya jambo lisiwe lenye hukmu, kuliharibu jambo, kubatilisha ‘amali au ‘ibaadah.

باطل

bayana

waziwazi, kubainisha au kudhihirisha jambo.

بينات

biladi/baladi

nchi, mji.

بلد/بلاد

bishara

kutoa khabari, kubashiria khabari njema au mbaya.

بشير

burhani

Burhani: Muujiza, Ushahidi, Ishara, Dalili, Hoja za waziwazi kabisa zenye kuthibitisha kwa yakini na bila ya shaka na bila ya kupingika. 

برهان

buruji

mnara

بروج

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [6]

C-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

C 

Neno

Maana

Kiarabu

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [7]

D-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

D

Neno

Maana

Kiarabu

daathari

angamiza, teketeza, haribu

دثر

dabiri

1-panga, endesha jambo

2-pa mgongo; kimbia

دبر

ولوا مدبرين  

dahari

zama ndefu, mwaka mzima,

دهر

damiri

teketeza, angamiza, hilikisha, bomoa

دمر

daraja

daraja, cheo,

درجة

deraya

 

دروع

dhabihu

kichinjo, kuchinja mnyama

ذبح

dhaifu

dhaifu

ضعيف

dhalala

 

ضلال

dhihaka

mzaha, utani, masihara

ضحك

dhiki

dhiki ya nafsi, kudhikika kitu au wakati kuwa finyu.

ضيق

dhiraa

dhiraa, kipimo cha mkono

ذراعا

dhuha

wakati wa asubuhi baada ya kuchomoza jua hadi kabla kuingia Adhuhuri kwa takriban robo saa

ضحى

dhuku

onja

ذوق

dhukuru

kutaja, kukumbuka, kumdhukuru Allaah

ذكر/ يذكر/ ذكر الله

dhunubu

madhambi

ذنوب

dhuria

watoto, wazawa, vizazi

ذرية

dia

fidia, malipo ya kufidia mauaji

دية

dunia

dunia

دنيا

duru

zunguka

 

دور

zidisha

zidisha, ongeza

زد

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [8]

E-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

E

Neno

Maana

Kiarabu

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [9]

F-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

F

Neno

Maana

Kiarabu

fadhila

kumfadhilisha mtu, kumfanyia wema, ukarimu, hisani, jamala, amali au ‘ibaadah inayosababisha kuchuma thawabu.

فضل

fahamu

kufahamu

فهم

faharasa/faharisi

orodha, sherehe, elezo.

فهرس

fakhari, fahari

kuwa na fahari ya jambo zuri, huenda ikamaanisha fahari ya kiburi kutokana na kujionyesha.

فخر

fasili

 

 

 

1-pambanuo, fafanua, bainisha waziwazi, kugawa au kuainisha maaandiko katika mafungu, kushona kitambaa, fungu la maneno, kutenganisha, kuachisha

فصل

fasili

sherehi, tanzua, changanua, fafanua, eleza waziwazi. 

 

فصل

fauka

juu

 

فوق

faulu

kufaulu, mafanikio

فلاح

fazaika

mshtuko mkubwa unaomfanya mtu azimie

فزع

fidiya

kufidia jambo kama fidia ya anayeshindwa kutekeleza ibaadah fulani, au kufidia kutokana na kupindukia mipaka katika ‘ibaadah, mfano: kufidia kwa kulisha maskini kwa ambaye hawezi swawm ya Ramadhwaan.

فدية

fikiri

kufikiri, kuwaza, kudhania.

فكر

fisadi

ufisadi

فساد  فسد

furahi

kufurahi. Katika Qur-aan huenda ikamaanisha kufurahi kwa kawaida au kufurahi kwa kujigamba kama kisa cha Qaaruwn katika [Suwrah Al-Qaswasw Aayah 76]

فرح

furkani

pambanuo, bainisho la haki na batili.

فرقان

futahi

kufungua, kupata ushindi wa nchi.

فتح

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [10]

G-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

G

Neno

Maana

Kiarabu

ghaibu

jambo lisoonekana, elimu ya ghaibu, mbali na macho

غيب

ghaidhi

ghadhabu, hamaki, hasira

غائظ

ghamu

majonzi, huzuni, sikitiko, kibuhuti

غم

ghanima

mali, ngawira, mateka ya vitani inayopatikana baada ya kupigana vita.

غنيمة

gharika

kugharikika, kuzama

غرق

ghazi

vita, mpiganaji vita

غزا

ghibu

ondoka machoni, potea, toweka

غائبين

ghubari

vumbi  

غبر

ghururi

ulaghai, udanganyikou hadaa, majivuno, kiburi, majinato kujigamba.

Katika Qur-aan imetajwa kuhusu shaytwaan kughuri wana Aadamu na pia maisha ya dunia ni starehe ya ghururi.

 

 

غرور

gubigubi

kupinduka chini juu.

كبكبوا

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [11]

H-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

H 

Neno

Maana

Kiarabu

habari

habari, taarifa.

خبار

habibi

mpenzi

حبيب

habithi

habithi, mbaya, mtu mbaya au muovu.

خبيث

hadhari

kujikinga na jambo, kuchukua hadhari jambo lisikufikie, kutahadhari

حذر

hadithi

 

 

hadithi, kisa, hadithia, simulia

 

 

حدث

 

Hadiyth

Hadiyth za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam).

حديث

hajiri

kuhajiri, kuhama

هجر

halisi

yenyewe, makhsusi.

خالص

hasanati

jema, jambo zuri

حسنة

hata

hadi, mpaka

حتى

hatima

hatimaye, mwisho

حتما

hawaa

Matamanio

هواء

hiliki

angamia

هلك

huba

mapenzi

حب

huda, hidaaya

mwongozo, uongofu

هدى هدايا

hudhuria

kuhudhuria jambo kama kuhudhuria darasani, kuhudhuria sherehe. 

حضر

husuni

ngome, nyumba au kuta madhubuti za kukinga

حصن

huzuni

kupatwa huzuni kutokana na mtihani, kifo, maradhi, kupotelewa na mtu, mali n.k

حزن

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [12]

I-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

I 

Neno

Maana

Kiarabu

ibra

itabiri; kuzingatia, kupata funzo, onyo kutokana na tukio fulani. 

عبر

ijtanibu

kujitenga

اجتنب

inadi

ukaidi, inda.

عنيد

indhari

kumpa mtu indhari, kumuonya

أنذرهم

istakiri

kutulia.

إستقرار

istiqaamah

kustakimu, kuthibitika katika ‘ibaadah na taqwa.

إستقامة

iymaan

imani katika moyo, kuamini jambo.

إيمان

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [13]

J-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

J 

 

Neno

Maana

Kiarabu

jaahiliyyah

ujahili, zama za kabla Uislamu

جاهلية

jaalia

kujaaliwa jambo kutoka kwa Allaah ('Azza wa Jalla)

جعل

jadidi

mpya

 

جديد

jamala

uzuri, kuzidisha sifa katika maneno au kumsifia mtu.

جمال

jamidi

kuganda kitu, kama kuganda barafu.

جامد

Jannah

janna, pepo

جنة

jasusi

kuchungua, mchunguzi

جسسس

jibu

kujibu, kuitikia.

جيب

jini

jini, ibilisi, shetani

جن

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [14]

K-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

K[1] 

 

Neno

Maana

Kiarabu

kabiri

kubwa

 

كبير

kadamisha

 

kutanguliza,

 

قدم

kadimu

zamani, kale

كريم

kadiri

takdiri, kukadiria, kupima, kuthamini, kiasi, uwezo.

 

pia ni Jina na Sifa tukufu ya Allaah ('Azza wa Jalla) kuwa ni Mweza wa kila kitu.

قدير

kalifu

kulazimisha, kubebesha jukumu zito, kumtwika mtu jambo asiloliweza kiwepesi, kama kusema taklifu.

كلف

kalili

 

 

 قليلا

kalili

kidogo

قليلا

karaha

kuchukia

كره

karatasi

karatasi

قرطاس

karimu

1-Jina na Sifa ya Allaah ('Azza wa Jalla) Mkarimu, Mwenye ukarimu, utukufu.

 

2-ukarimu

 

kariri

kukariri

كرر

kasimu

kugawa

قسم

khabari

habari, taarifa.

خبار

khabithi

habithi, mbaya, mtu mbaya au muovu.

خبيث

khadaa

hadaa, kudanganya, kuficha yasiyokweli, kufanya khiyana

خادع

khalifa

kiongozi wa Waumini

خليفة

khalisi

yenyewe, makhsusi.

خالص

khasimu

kukhasimikiana, kugombana, kuzozana

خصم

khiana

hiana, kuficha jambo pasi na haki khasa kwa ajili ya kujirudia manufaa mwenye kufanya khiyana.

kupunja, kunyima pasi na haki

خيانة

kidhibu

kukadhibisha, kusema uongo, kukanusha

كذبوا

kitabu

kitabu, maandiko

كتاب

kufuru, kufru

kufuru, kanusha, kufru, kafiri

كفر

kurabaa

jamaa wa ukaribu wenye uhusiano wa damu

قربى

kustakiri

kutulia

قرار

kuti

chakula, rizki

قوت

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

[1] Baadhi ya maneno ya Kiswahili yanatamkwa kwa herufi ya K ingawa herufi ya Kiarabu imekuja kwa herufi ya  ق

Share [15]

L-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

L

 

Neno

Maana

Kiarabu

lahani

sauti fulani, tuni

(pia makosa ya kisarufi katika lugha ya Kiarabu na katika usomaji wa Qur-aan)

لحن

laiti

 

ليت

latifu

1-Latifu ni Sifa ya Allaah ya upole na ujuzi wa yanayoonekana na yasiyoonekana makubwa na ya hata chembe ya hardali. Pia Al-Latwifu ni katika Majina Yake matukufu.

 

2-laini, upole.

لطيف

libasi/lebasi

mavazi

لباس

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [16]

M-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

M

 

Neno

Maana

Kiarabu

maghfirah

kufunikiwa au kusitiriwa madhambi na Allaah ('Azza wa Jalla)

مغفرة

mahiri

uhodari, weledi

مهر

majlisi

sehemu ya kikao cha watu, kikao cha maongezi, sebuleni

مجلس

majnuni

mwendawazimu.

مجنون

malaika

Malaika viumbe watukufu wa Allaah (عز وجل)

ملائكة

mauti

umauti, kufa, kufariki

موت

mihrabu

sehemu au mahali pa kusalia

محراب

mithali

mfano, mithili

مثل

munkari

maovu, machafu, yanayochukiza

منكر

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [17]

N-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

 

N

Neno

Maana

Kiarabu

naam

ndio

 

نعم

nakisi

kupunguka

نقص

nasaba

uhusiano wa damu, uhusiano wa mababu ukoo n.k

نسب

neema

neema za Allaah ('Azza wa Jalla)

نعمة

nuru

mwangaza

نور

nusu

nusu

نصف

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [18]

O-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

O

 

Neno

Maana

Kiarabu

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [19]

P-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

P

 

Neno

Maana

Kiarabu

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [20]

Q-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

Q

 

Neno

Maana

Kiarabu

qadhaa

hukmu ya Allaah (عز وجل), majaaliwa, hukmu

 قضى

qadhi

kadhi, jaji, hakimu

قاضي

Qur-aan

Qur-aan, Kitabu chenye maneno ya Allaah (عز وجل) ambacho ni Wahyi wa mwisho kwa Nabiy wa mwisho Nabiy Muhammad (صلى الله عليه وآله وسلم)

قرآن

quraysh

Kabila la watu wa Makkah

قريش

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [21]

R-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

R

 

Neno

Maana

Kiarabu

Rabb

Rabi, Mola, Maulaana, Mlezi, Mweye Kuruzuku, kuendesha mambo, Muumbaji, Mmiliki

رب

radhi

Radhi za Allaah ('Azza wa Jalla)

Radhi za wazazi

kuridhia jambo

راض

rahmah

Rehmah ya Allaah (عز وجل)

huruma kuhurumia mtu au kiumbe

رحمة

rajimi

kupigwa mawe

kurusha vijiwe katika Minara ya Minaa kama ni nguzo mojawapo ya Hajj

رجم

rejea

rudi

رجع

ribaa

riba, nyongeza ya mali ya haraam

ربا

rijali

wanaume

رجال

ritadi

kutoka katika Dini ya Kiislamu

رتد

rizki

rizki, neema ya chakula na mali kutoka kwa Allaah (عز وجل)

رزق

rufai

kipando, kupandisha kitu au jambo kupandishwa.

رفع

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [22]

S-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

S

 

Neno

Maana

Kiarabu

sabihi

Kumtakasa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa).

سبح

sabiki

kutangulia kushindana

سبق

safihi

 mwenye akili ndogo, mpumbavu

سفيه

safu

safu, mpangilio wa watu au vitu katika mistari.

Mfano, kupangana safu katika Swalaah za Jamaah

صف

sahifa

ukurasa, maandiko.

صحف

sarabi

mazigazi/mangati

سراب

sarifu

kuelekeza, kufahamisha, kuelezea

صرف

sawa

sawasawa

سواء  سوى

sawia

sawasawa

سويا سوى

shahidi

anayeshuhudia jambo

 

شهيد

Shahidi, shuhadaa

Shahidi aliyeuliwa vitani vya Dini.

شهداء

shaytwaan

shetani, jini, ibilisi

شيطان

shughuli

kushughulika na jambo, kazi.

شغل

sihri

uchawi

سحر

sura

Suwrah ya Qur-aan

 

سورة

sura

sura ya mtu au kiumbe yaani uso wake

 

صورة

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [23]

T-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

T

 

Neno

Maana

Kiarabu

taghuti

taghuti, shaytwaan, mizimu, kila kinachoabudiwa pasi na Allaah.

طاغوت

tajiri

tajiri, mtu mwenye mali nyingi.

تاجر

tamaa

tamaa

طمع

taqwa

kumcha Allaah (عز وجل)

تقوى

tawili

refu, amerefusha

طويل   -طال  

thaqili

zzito

ثقيلا

tijara

biashara

تجارة

twahara

tohara, usafi, kujitoharisha kutokana na hedhi, najisi, kutia wudhuu, kujitoharisha na najisi.

طهارة

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [24]

U-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

U

 

Neno

Maana

Kiarabu

udhuru

udhuru, kisingizio, kisababu

عذر

uhai

uhai, umri wa mtu

حياة

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [25]

V-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

V

 

Neno

Maana

Kiarabu

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [26]

W-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

W

 

Neno

Maana

Kiarabu

wasaa

wasaa, kuwa na wakati na nafasi, au uwezo

وسعة

wahyi

Wahyi, Ufunuo wa maneno ya Allaah ('Azza wa Jalla) kwa Manabii Wake, kama Qur-aan Hadiyth, na Vitabu vinginevyo vya mbinguni.

Pia inaweza kuwa ni ilhamu kwa Manabii Zake.

وحي

waraka

karatasi. Karatasi yenye maandiko ya ushahidi.

ورقة

wasia

wasiya wa mirath, wasiya au kuusia na kumnasihi mtu jambo jema.

وصية

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [27]

X-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

X

 

Neno

Maana

Kiarabu

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [28]

Y-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

Y

 

Neno

Maana

Kiarabu

yakini

kuwa na yakini, kuamini jambo moyoni.

يقين

yamini

kiapo, kulia

يمين

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [29]

Z-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com [4]

 

Z

 

Neno

Maana

Kiarabu

zilzala

zilzala, mtetemeko wa ardhi.

زلزلة

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share [30]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/10446

Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/53
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10446&title=Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[4] http://www.alhidaaya.com
[5] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10447&title=A-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[6] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10448&title=B-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[7] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10449&title=C-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[8] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10450&title=D-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[9] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10451&title=E-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[10] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10452&title=F-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[11] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10453&title=G-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[12] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10454&title=H-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[13] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10455&title=I-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[14] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10456&title=J-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[15] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10457&title=K-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[16] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10458&title=L-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[17] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10459&title=M-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[18] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10460&title=N-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[19] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10461&title=O-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[20] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10462&title=P-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[21] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10463&title=Q-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[22] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10464&title=R-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[23] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10465&title=S-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[24] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10466&title=T-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[25] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10467&title=U-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[26] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10468&title=V-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[27] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10469&title=W-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[28] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10470&title=X-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[29] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10471&title=Y-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu
[30] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F10472&title=Z-Misamiati%20Yenye%20Asili%20Ya%20Lugha%20Ya%20Kiarabu