Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 17-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa - كِتابُ الأمور الْمُنهى عَنْها > 005-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuchukua Hadiyth, Maneno ya Watu na Kuyapeleka kwa Viongozi Ikiwa Hapana Haja Yoyote Kama Hofu ya Ufisadi na Mfano Wake

005-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuchukua Hadiyth, Maneno ya Watu na Kuyapeleka kwa Viongozi Ikiwa Hapana Haja Yoyote Kama Hofu ya Ufisadi na Mfano Wake

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

باب النهي عن نقل الحديث وكلام الناس

إِلَى ولاة الأمور إِذَا لَمْ تَدْعُ إِلَيْهِ حاجة كخوف مفسدة ونحوه

005-Mlango Wa Kukatazwa Kuchukua Hadiyth, Maneno ya Watu na Kuyapeleka kwa Viongozi Ikiwa Hapana Haja Yoyote Kama Hofu ya Ufisadi na Mfano Wake

 

Alhidaaya.com [1]

 

قال الله تَعَالَى :

وَلَا تَعَاوَنُوا عَلَى الْإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ ۚ  ﴿٢﴾

Na shirikianeni katika wema na taqwa, na wala msishirikiane katika dhambi na uadui. [Al-Maaidah: 2]

 

وعن ابن مسعودٍ رضي اللهُ عنه قَالَ : قَالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم : (( لا يُبَلِّغُنِي أَحَدٌ مِنْ أصْحَابِي عَنْ أَحَدٍ شَيْئاً ، فإنِّي أُحِبُّ أنْ أخْرُجَ إِلَيْكُمْ وأنَا سَليمُ الصَّدْرِ )) . رواه أَبُو داود والترمذي .

Imepokewa kutoka kwa Ibn Mas'uwd (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: " Asinifikishie Swahaaba wangu yeyote jambo baya lolote kuhusu mtu mwengine, kwani mimi napenda kukutana nanyi kifua changu kikiwa safi kabisa (bila ya kuwa na kinyongo na yeyote)." [Abu Daawuwd na At-Tirmidhiy]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11296

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11296&title=005-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Kukatazwa%20Kuchukua%20Hadiyth%2C%20Maneno%20ya%20Watu%20na%20Kuyapeleka%20kwa%20Viongozi%20Ikiwa%20Hapana%20Haja%20Yoyote%20Kama%20Hofu%20ya%20Ufisadi%20na%20Mfano%20Wake