Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 17-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa - كِتابُ الأمور الْمُنهى عَنْها > 019-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuwa na Dhana Mbaya kwa Waislamu Bila ya Dharura

019-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuwa na Dhana Mbaya kwa Waislamu Bila ya Dharura

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

باب النهي عن سوء الظنّ بالمسلمين من غير ضرورة

019-Mlango Wa Kukatazwa Kuwa na Dhana Mbaya kwa Waislamu Bila ya Dharura

 

Alhidaaya.com [1]

 

قال الله تَعَالَى :

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثِيرًا مِّنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ ۖ ﴿١٢﴾

Enyi walioamini!  Jiepusheni sana na dhana, kwani hakika baadhi ya dhana ni dhambi. [Al-Hujuraat: 12]

 

 

وعن أَبي هريرة رضي الله عنه : أنَّ رسول الله صلى الله عليه وسلم قَالَ : (( إيَّاكُمْ والظَّنَّ ، فإنَّ الظَّنَّ أكْذَبُ الحَدِيثِ )) . متفق عَلَيْهِ .

Imepokewa kutoka kwa Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kuwa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Tahadharini na dhana, kwani dhana ni uwongo mkubwa katika mazungumzo." [Al-Bukhaariy na Muslim].

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11310

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11310&title=019-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Kukatazwa%20Kuwa%20na%20Dhana%20Mbaya%20kwa%20Waislamu%20Bila%20ya%20Dharura