Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 17-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa - كِتابُ الأمور الْمُنهى عَنْها > 045-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Karaha ya Kustanji kwa Mkono wa Kulia na Kuishika Dhakari Yake kwa Mkono wa Kulia Bila Udhuru

045-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Karaha ya Kustanji kwa Mkono wa Kulia na Kuishika Dhakari Yake kwa Mkono wa Kulia Bila Udhuru

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

باب كراهة الاستنجاء باليمين

ومس الفرج باليمين من غير عذر

045-Mlango Wa Karaha ya Kustanji kwa Mkono wa Kulia na Kuishika Dhakari Yake kwa Mkono wa Kulia Bila Udhuru

 

Alhidaaya.com [1]

 

وعن أبي قتادة رضي الله عنه ، عن النبيّ صلى الله عليه وسلم ، قال : (( إذا بَالَ أَحَدُكُمْ ، فَلاَ يَأخُذَنَّ ذَكَرَهُ بِيَمِينِهِ ، وَلاَ يَسْتَنْجِ بِيَمِينِهِ ، وَلاَ يَتَنَفَّسْ فِي الإنَاءِ )) . متفق عليه .

Imepokewa kutoka kwa Abu Qataadah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Anapokojoa mmoja wenu asiishike dhakari yake kwa mkono wake wa kuume na asistanji kwa mkono wake wa kuume wala asipumue katika chombo (anapokunywa kinywaji)." [Al-Bukhaariy, Muslim, Abu Daawuwd, At-Tirmidhiy na An-Nasaaiy].

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11364

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11364&title=045-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Karaha%20ya%20Kustanji%20kwa%20Mkono%20wa%20Kulia%20na%20Kuishika%20Dhakari%20Yake%20kwa%20Mkono%20wa%20Kulia%20Bila%20Udhuru