Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 17-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa - كِتابُ الأمور الْمُنهى عَنْها > 054-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kuwafunga Kengele Ngamia na Wanyama Wengine na Ukaraha wa Kumchukua Mbwa na Kengele katika Safari

054-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kuwafunga Kengele Ngamia na Wanyama Wengine na Ukaraha wa Kumchukua Mbwa na Kengele katika Safari

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

باب كراهية تعليق الجرس في البعير وغيره من الدواب

وكراهية استصحاب الكلب والجرس في السفر

054-Mlango Wa Ukaraha wa Kuwafunga Kengele Ngamia na Wanyama Wengine na Ukaraha wa Kumchukua Mbwa na Kengele katika Safari

 

Alhidaaya.com [1]

 

Hadiyth – 1

عن أبي هريرة رضي الله عنه قال : قالَ رسولُ الله صلى الله عليه وسلم : (( لاَ تَصْحَبُ المَلاَئِكَةُ رُفْقَةً فِيهَا كَلْبٌ أوْ جَرَسٌ )) . رواه مسلم .

Imepokewa kutoka kwa Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Malaaikah wa rehma hawafuati msafara ulio na mbwa au kengele." [Muslim]

 

Hadiyth – 2

وعن أبي هريرة رضي الله عنه قال : أنَّ النَّبيَّ صلى الله عليه وسلم ، قال : (( الجَرَسُ مَزَامِيرُ الشَّيْطَانِ )) . رواه مسلم .

Imepokewa kutoka kwa Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kuwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Kengele ni katika zumari za shetani." [Muslim]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11373

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11373&title=054-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Ukaraha%20wa%20Kuwafunga%20Kengele%20Ngamia%20na%20Wanyama%20Wengine%20na%20Ukaraha%20wa%20Kumchukua%20Mbwa%20na%20Kengele%20katika%20Safari