Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 17-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa - كِتابُ الأمور الْمُنهى عَنْها > 068-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kumuita Fasiki na Mzushi na Mfano Wao kwa Jina la Bwana na Mfano wake

068-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kumuita Fasiki na Mzushi na Mfano Wao kwa Jina la Bwana na Mfano wake

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

باب النهي عن مخاطبة الفاسق والمبتدع ونحوهما بِسَيِّد ونحوه

068-Mlango Wa Kukatazwa Kumuita Fasiki na Mzushi na Mfano Wao kwa Jina la Bwana na Mfano wake

 

Alhidaaya.com [1]

 

عن بُريَدَةَ رضي الله عنه قالَ : قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم : (( لاَ تَقُولُوا لِلْمُنَافِقِ سَيِّدٌ، فَإنَّهُ إنْ يَكُ سَيِّداً فَقَدْ أسْخَطْتُمْ رَبَّكُمْ عزوجل )) . رواه أبو داود بإسنادٍ صحيح.

Imepokewa kutoka kwa Buraydah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Usimuite mnafiki Bwana, kwani akiwa yeye atakuwa ni bwana, hakika mtakuwa mmemkasirisha Rabb wenu 'Azza wa Jalla." [Abu Daawuwd kwa Isnaad Swahiyh]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11388

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11388&title=068-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Kukatazwa%20Kumuita%20Fasiki%20na%20Mzushi%20na%20Mfano%20Wao%20kwa%20Jina%20la%20Bwana%20na%20Mfano%20wake