Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 17-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa - كِتابُ الأمور الْمُنهى عَنْها > 078-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuusifu Uzuri wa Mwanamke Mbele ya Mwanaume ila Anapohitajia Hilo kwa Haja Inayokubaliwa na Sheria Kama Kumuoa na Mfano Wake

078-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuusifu Uzuri wa Mwanamke Mbele ya Mwanaume ila Anapohitajia Hilo kwa Haja Inayokubaliwa na Sheria Kama Kumuoa na Mfano Wake

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

باب النهي عن وصف محاسن المرأة لرجل

إلاَّ أن يحتاج إلى ذلك لغرض شرعي كنكاحها ونحوه

078-Mlango Wa Kukatazwa Kuusifu Uzuri wa Mwanamke Mbele ya Mwanaume ila Anapohitajia Hilo kwa Haja Inayokubaliwa na Sheria Kama Kumuoa na Mfano Wake

 

Alhidaaya.com [1]

 

عن ابن مسعودٍ رضي الله عنه ، قال : قال رسول الله صلى الله عليه وسلم : (( لاَ تُبَاشِرِ المَرْأَةُ المَرْأَةَ ، فَتَصِفَهَا لِزَوْجِهَا كَأَنَّهُ يَنْظُرُ إلَيْهَا )) . متفق عليه .

imepokewa kutoka kwa Ibn Mas'uwd (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Mwanamke asimguse mwanamke mwenziwe sehemu zake za siri kisha amsifie mumewe uzuri wake wa kimaumbile kama kwamba anamuona." [Al-Bukhaariy na Muslim]

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11398

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11398&title=078-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Kukatazwa%20Kuusifu%20Uzuri%20wa%20Mwanamke%20Mbele%20ya%20Mwanaume%20ila%20Anapohitajia%20Hilo%20kwa%20Haja%20Inayokubaliwa%20na%20Sheria%20Kama%20Kumuoa%20na%20Mfano%20Wake