Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 17-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa - كِتابُ الأمور الْمُنهى عَنْها > 082-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Mke Kukataa Mwito wa Mumewe Anapomuita Kitandani na Hana Udhuru Wowote wa Kisheria

082-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Mke Kukataa Mwito wa Mumewe Anapomuita Kitandani na Hana Udhuru Wowote wa Kisheria

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

باب تحريم امتناع المرأة من فراش زوجها

إِذَا دعاها ولم يكن لَهَا عذر شرعي

082-Mlango Wa Uharamu wa Mke Kukataa Mwito wa Mumewe Anapomuita Kitandani na Hana Udhuru Wowote wa Kisheria

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

عن أَبي هريرة رضي الله عنه ، قَالَ : قَالَ رسولُ الله صلى الله عليه وسلم : (( إِذَا دَعَا الرَّجُلُ امْرَأتَهُ إِلَى فِرَاشِهِ فَأبَتْ ، فَبَاتَ غَضْبَانَ عَلَيْهَا ، لَعَنَتْهَا المَلاَئِكَةُ حَتَّى تُصْبحَ )) متفق عَلَيْهِ .

وفي رواية : (( حَتَّى تَرْجعَ )) .

Imepokewa kutoka kwa Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Anapomuita mume, mkewe kwenye firasha (kwa jimai) na asije, hivyo mume kulala akiwa na hasira, mke analaaniwa na Malaaikah mpaka kunapopambazuka." [Al-Bukhaariy na Muslim]

Na katika riwaayah nyengine: "Mpaka atakaporudi (na kumtekelezea mumewe mahitaji yake)." 

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11402

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11402&title=082-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Uharamu%20wa%20Mke%20Kukataa%20Mwito%20wa%20Mumewe%20Anapomuita%20Kitandani%20na%20Hana%20Udhuru%20Wowote%20wa%20Kisheria