Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 17-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa - كِتابُ الأمور الْمُنهى عَنْها > 086-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kuswali Pindi Chakula Kinapokuwa Tayari na Nafsi yake Imevutiwa Kwayo au Kushikwa na Haja Mbili: Nazo ni Ndogo na Kubwa

086-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukaraha wa Kuswali Pindi Chakula Kinapokuwa Tayari na Nafsi yake Imevutiwa Kwayo au Kushikwa na Haja Mbili: Nazo ni Ndogo na Kubwa

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

باب كراهة الصلاة بحضرة الطعام ونفسه تتوق إِلَيْهِ

أَوْ مَعَ مدافعة الأخبثين : وهما البول والغائط

086-Mlango Wa Ukaraha wa Kuswali Pindi Chakula Kinapokuwa Tayari na Nafsi yake Imevutiwa Kwayo au Kushikwa na Haja Mbili: Nazo ni Ndogo na Kubwa

 

Alhidaaya.com [1]

 

عن عائشة رَضِيَ اللهُ عنها ، قالت : سَمِعْتُ رسولَ الله صلى الله عليه وسلم يقولُ : (( لا صَلاَةَ بِحَضْرَةِ طَعَامٍ ، وَلاَ وَهُوَ يُدَافِعُهُ الأَخْبَثَانِ )) . رواه مسلم .

Amesema 'Aaishah (Radhwiya Allaahu 'anhaa): Nimemsikia Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: "Hapana Swalaah pindi chakula kinapokuwa tayari wala anapotingwa na uchafu wa aina mbili (yaani haja ndogo na kubwa)." [Muslim]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11406

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11406&title=086-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Ukaraha%20wa%20Kuswali%20Pindi%20Chakula%20Kinapokuwa%20Tayari%20na%20Nafsi%20yake%20Imevutiwa%20Kwayo%20au%20Kushikwa%20na%20Haja%20Mbili%3A%20Nazo%20ni%20Ndogo%20na%20Kubwa