Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 17-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa - كِتابُ الأمور الْمُنهى عَنْها > 087-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kunyanyua Macho Juu Mbinguni katika Swalaah

087-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kunyanyua Macho Juu Mbinguni katika Swalaah

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

باب النهي عن رفع البصر إِلَى السماء في الصلاة

087-Mlango Wa Kukatazwa Kunyanyua Macho Juu Mbinguni katika Swalaah

 

Alhidaaya.com [1]

 

عن أنس بن مالك رضي الله عنه قَالَ : قَالَ رسولُ اللهِ صلى الله عليه وسلم : (( مَا بَالُ أقْوامٍ يَرْفَعُونَ أبْصَارَهُمْ إِلَى السَّمَاءِ في صَلاَتِهِمْ ! )) فَاشْتَدَّ قَولُهُ في ذَلِكَ حَتَّى قَالَ :(( لَيَنْتَهُنَّ عَنْ ذَلِكَ ، أَوْ لَتُخطفَنَّ أَبْصَارُهُمْ ! )) .  رواه البخاري .

Imepokewa kutoka kwa Anas bin Maalik (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Wana nini watu wanaonyanyua macho yao juu mbinguni wakiwa katika Swalaah zao." Akawa mkali na kuwaonya wasifanye hivyo mpaka akasema: "Wakome kufanya hivyo au watapofolewa macho yao." [Al-Bukhaariy]

 

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11407

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11407&title=087-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Kukatazwa%20Kunyanyua%20Macho%20Juu%20Mbinguni%20katika%20Swalaah