Alhidaaya.com
Published on Alhidaaya.com (https://www.alhidaaya.com/sw)

Ukurasa Wa Kwanza > 17-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Mambo Yaliyokatazwa - كِتابُ الأمور الْمُنهى عَنْها > 096-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uzito wa Uharamu wa Mtumwa Kutoroka Kutoka kwa Bwana Wake

096-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uzito wa Uharamu wa Mtumwa Kutoroka Kutoka kwa Bwana Wake

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

باب تغليظ تحريم إباق العبد من سيده

096-Mlango Wa Uzito wa Uharamu wa Mtumwa Kutoroka Kutoka kwa Bwana Wake

 

Alhidaaya.com [1]

 

 

Hadiyth – 1

عن جرير رضي الله عنه قَالَ : قَالَ رسولُ اللهِ صلى الله عليه وسلم : (( أَيُّمَا عَبْدٍ أَبَقَ ، فَقَدْ بَرِئَتْ مِنْهُ الذِّمَّةُ )) . رواه مسلم .

Imepokewa kutoka kwa Jariyr bin 'Abdillaah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Mtumwa yeyote anayekimbia (kutoka kwa bwana wake), hakika anakosa (na kuwa mbali) ulinzi wa Uislamu aliopatiwa." [Muslim]

 

Hadiyth – 2

وعن جرير رضي الله عنه ، عن النبيِّ صلى الله عليه وسلم : (( إِذَا أَبَقَ العَبْدُ ، لَمْ تُقْبَلْ لَهُ صَلاَةٌ )) . رواه مسلم .

وفي روايةٍ : (( فَقَدْ كَفَرَ )) .

Imepokewa kutoka kwa Jariyr (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Pindi anapotoroka mtumwa (kutoka kwa bwana wake), Swalaah yake haitakubaliwa." [Muslim]

Na katika riwaayah nyengine: "Hakika amekufuru."

 

Share [2]
www.alhidaaya.com

Source URL: https://www.alhidaaya.com/sw/node/11416

Links
[1] http://www.alhidaaya.com/
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11416&title=096-Riyaadhw%20Asw-Swaalihiyn%3A%20Mlango%20Wa%20Uzito%20wa%20Uharamu%20wa%20Mtumwa%20Kutoroka%20Kutoka%20kwa%20Bwana%20Wake