Kisha, alikuwa (صلى الله عليه وآله وسلم)akinyanyuka kwa ajili ya Rak’ah ya tatu pamoja na takbiyr([1]) na alimuamrisha "aliyeswali vibaya" kufanya hivyo: “….kisha akifanya hivyo katika kila Rak’ah na Sajdah kama ilivyotangulia”
Na alikuwa (صلى الله عليه وآله وسلم)anaposimama kutoka kikao alisema takbiyr, kisha akasimama"([2]) na "Alikuwa akinyanyua (صلى الله عليه وآله وسلم)mikono yake([3]) pamoja na takbiyr mara nyingine.
Na alikuwa anapotaka kusimama kwa ajili ya Rak’ah ya nne, akisema: ((Allaahu Akbar))"([4]) na alimuamrisha "aliyeswali vibaya" hivyo
Alikuwa akiketi barabara juu ya mguu wake wa kushoto, kwa utulivu hadi kila mfupa ulirudi sehemu yake kisha akisimama, akijisaidia kwa mikono yake, alikunja ngumi([6]) na kutegemea mikono yake katika kuinuka.([7])
Alikuwa akisoma Suratul-Faatihah kaitka Rak’ah zote mbili na alimuamrisha "aliyeswali vibaya" kufanya hivyo. Katika Swalah ya adhuhuri aliongeza mara nyingine Aayah chache
[1]Al-Bukhaariy na Muslim.
[1] [1][2]Abu Ya'alaa katika Musnad yake (284/2) ikiwa na isnaad nzuri. Imetolewa katika Silsilatul Al- Ahaadiyth As-Swahiyhah (604).
[2] [2][3] Al-Bukhaariy na Muslim.
[3] [3][4]Kifungu kile kile kilichotajwa hapo mbeleni.
[4] [4][5]Abu 'Awaanah na An-Nasaaiy ikiwa na isnaad Swahiyh.
[5] [5][6]Ina maana '
[6] [6][7] Al-Harbiy katika Hadiyth Al-Ghariyb. Maana yake inapatikana katika Al-Bukhaariy na Abu Daawuud. Ama kuhusu Hadiyth kuwa 'alimkataza mtu kujisaidia kwa mikono yake anapoinuka katika Swalah', ni Munkar na sio Swahiyh kama nilivyoelezea katika Silsilatul-Ahaadityh Adhwa'iyfah (967).
Links
[1] http://www.alhidaaya.com/sw/sites/all/modules/fckeditor/fckeditor/editor/fckeditor.html?InstanceName=edit-body&Toolbar=DrupalFull#_ftnref2
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/sites/all/modules/fckeditor/fckeditor/editor/fckeditor.html?InstanceName=edit-body&Toolbar=DrupalFull#_ftnref3
[3] http://www.alhidaaya.com/sw/sites/all/modules/fckeditor/fckeditor/editor/fckeditor.html?InstanceName=edit-body&Toolbar=DrupalFull#_ftnref4
[4] http://www.alhidaaya.com/sw/sites/all/modules/fckeditor/fckeditor/editor/fckeditor.html?InstanceName=edit-body&Toolbar=DrupalFull#_ftnref5
[5] http://www.alhidaaya.com/sw/sites/all/modules/fckeditor/fckeditor/editor/fckeditor.html?InstanceName=edit-body&Toolbar=DrupalFull#_ftnref6
[6] http://www.alhidaaya.com/sw/sites/all/modules/fckeditor/fckeditor/editor/fckeditor.html?InstanceName=edit-body&Toolbar=DrupalFull#_ftnref7
[7] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F5034&title=049-Sifa%20Ya%20Swalah%20Ya%20Mtume%20%28Swalla%20Allaahu%20%27Alayhi%20Wa%20Aalihi%20Wa%20Sallam%29%3A%20Kusimama%20Kwa%20Ajili%20Ya%20Rak%E2%80%99ah%20Ya%20Tatu%2C%20Kisha%20Ya%20Nne