071-Du'aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kunufaishwa Kwa Masikio, Macho, Kunusuriwa Na Anayekudhulum, Allaah Kukulipizia...

Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Kuomba Kunufaishwa Kwa Masikio, Macho, Kunusuriwa Na Anayekudhulumu

Na Allaah Kukulipizia Dhidi Ya Maadui

 

 Alhidaaya.com

 

 

اللَّهُمَّ مَتِّعْنِي بِسَمْعِي وَبَصَرِي  وَاجْعَلْهُمَا الْوَارِثَ مِنِّي وَانْصُرْنِي عَلَى مَنْ يَظْلِمُنِي وَخُذْ مِنْهُ بِثَأْرِي

 

Allaahumma matti’-niy bisam-’iy, wa baswariy, waj-’al-humal-waaritha minniy, wanswurniy ‘alaa man yadhwlimuniy, wa khudh minhu bitha-ariy

 

Ee Allaah, ninufaishe kwa masikio yangu, na macho yangu, na vijaalie viwili hivyo viwe wiratha wangu (viimarishe mpaka kufa kwangu) na ninusuru dhidi ya anayenidhulumu, na nilipizie dhidi yake.

 

[At-Tirmidhiy Taz Swahiyh At-Tirmidhiy (3/188)]

 

 

 

 

 

Share