070-Du'aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kuomba Elimu Yenye Manufaa, Kuomba Kinga Dhidi Ya Elimu Isiyonufaisha

 

 Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Kuomba Elimu Yenye Manufaa

Na Kuomba Kinga Dhidi Ya Elimu Isiyonufaisha

 

 Alhidaaya.com

 

 

اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ عِلْماً نَافِعًا وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ عِلْمٍ لاَ يَنْفَعُ

Allaahumma inniy as-aluka ‘ilman naafi’aa wa a’uwdhu bika min ‘ilmin-laa yanfa’u

 

Ee Allaah, hakika mimi nakuomba elimu yenye manufaa, na najikinga Kwako elimu isiyonufaisha

 

[Swahiyh Ibn Maajah na Taz Majma’ Az-Zawaaid (10/185)]

 

 

 

 

 

Share