Hadiyth Ya 24 - Waliokhasimiana Hazipokelewi Amali Zao Hadi Wapatane
Hadiyth Ya 24
Waliokhasimiana Hazipokelewi Amali Zao Hadi Wapatane
عن أبي هريرة رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: (( تُعْرَضُ أَعْمَالُ النَّاسِ فِي كُلِّ جُمُعَةٍ مَرَّتَيْنِ يَوْمَ الِاثْنَيْنِ وَيَوْمَ الْخَمِيسِ فَيُغْفَرُ لِكُلِّ مُؤْمِنٍ إِلَّا عَبْدًا بَيْنَهُ وَبَيْنَ أَخِيهِ شَحْنَاءُ فَيُقَالُ أَنْظِرُوا هَذَيْنِ حَتَّى يَصْطَلِحَا)) مسلم, مالك و أبي داود
Kutoka kwa Abu Hurayrahرضي الله عنه kwamba Mtume صلى الله عليه وسلم amesema: ((Amali za watu huwekwa wazi mara mbili kwa wiki siku ya Jumatatu na Alkhamiys. Hughufuriwa kila Muumini isipokuwa mja aliyekuwa na ukhasama baina yake na nduguye (Muislamu). Husemwa: Wangojeeni hawa hadi wapatane)) [Muslim, Maalik na Abu Daawuud]
- Login or register to post comments
- Email this page


