015-Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kinga Ya Kumshirikisha Allaah Ukiwa Unajua Na Kuomba Maghfirah Kwa Usiyoyajua

 Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Kinga Ya Kumshirikisha Allaah Hali Ukijua Na Kuomba Maghfirah Kwa Usiyoyajua

 

 Alhidaaya.com

 

 

اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ أَنْ أُشْرِكَ بِكَ وَأَنَا أَعْلَمُ، وَأَسْتَغْفِرُكَ لِمَا لاَ أَعْلَمُ

Allaahumma inniy a’uwdhu bika an-ushrika bika wa anaa a-’lamu, wa astaghfiruka limaa laa a’lamu

 

Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako kukushirikisha na hali najua, na nakuomba maghfirah kwa nisiyoyajua

[Ahmad - Swahiyh At-Targhiyb Wat-Tarhiyb (1/19)]

 

 

Share