Imaam Ibn Taymiyyah : Undugu Wa Kiislamu Una Nguvu Zaidi Kuliko Undugu Wa Uhusiano
Kauli Za Salaf: Jamii
Undugu Wa Kiislamu Una Nguvu Zaidi Kuliko Undugu Wa Damu
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
"Ukaribu wa Dini ni mkubwa zaidi kuliko ukaribu wa uhusiano wa damu. Na ukaribu baina ya nyoyo na roho ni mkubwa zaidi kuliko ukaribu wa viwiliwili."
[Minhaaj As-Sunnah (7/78)]