Skip to main content

Abuu Dardaa ( ): Kunyamaza Kimya Ni Aina Ya Hikmahرضي الله عنه

Kauli Za Salaf: Aadab-Maadili

Kunyamaza Kimya Ni Aina Ya Hikmah

Abuu Dardaa (Radhwiya-Allaahu ‘anhu)

Alhidaaya.com

Swahabi Abuu Dardaa (Radhwiya-Allaahu ‘anhu) alisema:

“Kunyamaza kimya ni aina ya hikmah, lakini ni watu wachache mno wanaoifanyia kazi.”

[Jaami' Bayaan Al-‘Ilm (628)]