Tovuti Za 'Ulamaa Na Za Kielimu
Ibn Taymiyyah
موقع الشيخ الاسلام ابن تيمية الحراني
Hazina Ya Ilimu Ya Imaam Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah, Abul-'Abbaas Ahmad bin 'Abdil-Haliym bin 'Abdis-Salaam.
Alalbany.netAlalbani.info
الموقع الرسمي للإمام الألباني
Ilimu iliyojaa ya Muhaddith Imaam Muhammad Naaswirud-Diyn Al-Albaaniy (Rahimahu-Allaah).
Binbaz.org.sa
موقع الشيخ عبد العزيز بن باز
Mawaidha, Fataawaa, makala ya Imaam Mufti 'Abdul'-Aziyz bin 'Abdillaah bin Baaz, aliyekuwa Mufti wa Saudia.
Binothaimeen.net
موقع الشيخ محمد بن صالح العثيمين
Mafunzo, makala, vitabu na Fataawaa za 'Allaamah Mkubwa, Faqiyh, Imaam Muhammad bin Swaalih Al-'Uthaymiyn.
3llamteen.com
مشروع سلسلة العلامتين ابن باز والألباني
Shibe ya Ilimu kutoka kwa 'Ulamaai wawili Mabingwa; Shaykh Ibn Baaz na Shaykh Al-Albaaniy.
Mufti.af.org.sa
موقع الشيخ عبد العزيز بن عبد الله آل الشيخ
Aliyekuwa Mufti Mkuu wa Saudi Arabia, 'Abdul-'Aziyz Aal Ash-Shaykh.
Alfawzan.af.org.sa
موقع الشيخ صالح بن فوزان الفوزان
Mawaidha Na Fataawaa za 'Allaamah Shaykh Swaalih bin Fawzaan bin 'Abdillaah Al-Fawzaan.
Alnajmi.net
موقع الشيخ أحمد بن يحي النجمي
Mwanachuoni Aliyekuwa Saudia, Shaykh Ahmad bin Yahyaa An-Najmiy.
Al-abbaad.com
موقع الشيخ عبد المحسن العباد
Mwanachuoni Muhaddith Shaykh 'Abdul-Muhsin bin Hamad Al-'Abbaad Al-Badr.
Eljame.com
موقع الشيخ محمد أمان الجامي
Mwanachuoni Mkubwa kutoka Ethiopia, Shaykh Muhammad Amaan Al-Jaamiy.
Lohaidan.af.org.sa
موقع الشيخ صالح اللحيدان
Mwanachuoni Shaykh Swaalih bin Muhammad Al-Luhaydaan.
Shrajhi.com.sa
الموقع الرسمي لفضيلة الشيخ عبدالعزيز بن عبدالله الراجحي
Mwanachuoni Shaykh 'Abdul-'Aziyz bin 'Abdillaah Ar-Rajhiy.
Alhilali.net
موقع فضيلة الشيخ العلامة محمد تقي الدين الهلالي الحسيني المغربي
Shaykh Taqiyud-Diyn Al-Hilaaliy Al-Husayniy wa Morocco ambaye pia ni Mtarjimu wa Qur-aan kwa Lugha ya Kiingereza inayokubalika.
Saleh.af.org.sa
موقع الشيخ صالح بن عبد العزيز آل الشيخ
Mwanachuoni Shaykh Swaalih bin 'Abdul-'Aziyz Aal Ash-Shaykh.
Alifta.gov.sa
موقع الرئاسة العامة للبحوث العلمية والإفتاء
Tovuti Za Kiingereza
Al-Iftaa
Mjumuiko wa Faataawa kutoka Kamati ya Utafiti na Fataawaa.
FatwaIslam
Fataawaa za 'Ulamaa wakubwa wa kutegemewa.
Allahu-Akbar.net
Yajue makundi mbalimbali yanayojiita ni ya Kiislam na makala muhimu za kielimu. Fataawaa mbalimbali kutoka Daarul-Iftaa ikiwa chini ya 'Ulamaa wakubwa Saudia.
Quran.com
Sunnah.com
Vitabu vya Hadiyth.
Alifta.com
Tovuti ya Fataawaa za kuaminika kutoka kwa ‘Ulamaa wa kutegemewa.
Al-Islam.com
Tafsiyr za Qur-aan, Hadiyth, Zakaah na Ilimu kutoka ‘Ulamaa mashuhuri na katika vitabu tofauti.
Alabadyah.com
من هم الإباضية
Tovuti kuhusu Uibaadhi (Khawaarij).