Skip to main content

Imaam Abu Qilaabah - Msiambatane Na Watu Wa Bid'ah Na Msijadiliane Nao

Kauli Za Salaf

Msiambatane Na Watu Wa Bid'ah Na Msijadiliane Nao

www.alhidaaya.com

Imaam Abu Qilaabah (Rahimahu Allaah) amesema:

 
"Msikae na watu wa Matamanio (watu wa bid'ah), na wala msijadiliane nao, hakika mimi sijiaminishi juu yenu kuwa watashindwa kuwazamisha katika upotevu wao au kuwafunika kwa hadaa kwa yale mnayoyajua (mkavurugukiwa)."
 
 
[Ad-Daarimiy, Al-Aajuriy na wengineo]