Skip to main content

Imaam Adhw-Dhwahaak: Utafika Wakati Qur-aan Itahamwa Hadi Itandwe Buibui

Utafika Wakati Qur-aan Itahamwa Hadi Itandwe Buibui

Imaam Adhw-Dhwahaak (Rahimahu Allaah)

Ahidaaya.com

Imaam Adhw-Dhwahaak (Rahimahu Allaah) amesema:

"Itafika zama ambapo watu watatundika misahafu kiasi cha kutandwa na buibui na watu hawafaidiki nayo."

[Jami’ Bayaanul ‘Ilm (3/271)]