Kauli Za Salaf Shikamaneni Na Sunnah www.alhidaaya.com Imaam Ahmad bin Hanbal (Rahimahu Allaah) amesema: "Allaah Amemrehemu mja anayesema Haki, na akafuata Athar, na akashikamana na Sunnah, na akawaiga (kufuata mwendo wa) waja wema." [Twabaqaat Al-Hanaabilah 1/36]