Skip to main content

Imaam Al-Albaaniy: Jifunzeni Sunnah Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Na Zifanyieni Kazi Ni Sharaf Yenu

Jifunzeni Sunnah Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

Na Zifanyieni Kazi Ni Shifaa Na Sharaf Yenu

Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu-Allaah) amesema:

“Katika yanayosikitisha ni kuwa watu wengi wako katika kughafilika na kujifunza Sunnah Tukufu. Basi tanabahini enye Waislamu na tambueni Sunnah za Nabiy wenu na ifanyieni kazi kwani humo mnao shifaa na Sharaf (taadhima, hadhi) zenu.”

[As-Silsilah Asw-Swahiyhah (1/236)]