Skip to main content

Imaam Al-Qurtwubiy - Anayekaa Vikao Vya Maasi Na Hawakatazi Wenzake, Anaingia Naye Kwenye Madhambi

Kauli Za Salaf

Anayekaa Vikao Vya Maasi Na Hawakatazi Wenzake, Anaingia Naye Kwenye Madhambi

www.alhidaaya.com

Imaam Al-Qurtwubiy (Rahimahu Allaah) amesema:

“Yeyote anayekaa kwenye kikao cha maasi na hakatazi wenzake, anakuwa pamoja nao sawa kwa madhambi (wanayochuma).”

[Ahkaam Al-Qur-aan, juz. 5, uk. 418]