Skip to main content

Imaam Atw-Twabariy - Watu Wa Baatwil Hawaelewani Wao Kwa Wao Lakini Huungana Dhidi Ya Watu Wa Haki

Kauli Za Salaf

Watu Wa Baatwil Hawaelewani Wao Kwa Wao Lakini Huungana Dhidi Ya Watu Wa Haki

www.alhidaaya.com   

Imaam Atw-Twabariy (Allaah Amrehemu) amesimulia kuwa Qataadah (Allaah Amrehemu) alisema:

"Utawakuta watu wa baatwil (upotofu) wakitofautiana wao kwa wao katika ushahidi wao, wakitofautiana katika matamanio yao, na wakitofautiana katika matendo yao. Wakati huo huo, wanaungana kwa uadui wao dhidi ya watu wa haki (wanaofuata msimamo sahihi wa Dini)."

[Tafsiyr Atw-Twabariy, mj. 3, uk. 92]