Skip to main content

Imaam Ibn Al-Qayyim: Aina Nne Za Jihaad

Kauli Za Salaf: Manhaj

Aina Nne Za Jihaad

Imaam Ibn Al-Qayyim  (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Al-Qayyim  (Rahimahu Allaah) amesema:

Jihaad ni aina nne:

Jihaad ya (kukabiliana na) nafsi, jihaad ya (kupambana na) shaytwaan, jihaad ya (kupambana na) makafiri, jihaad ya (kukabiliana na) wanafiki.

[Zaad Al-Ma’aad (3/9)]