Skip to main content

Imaam Ibn Al-Qayyim: Ramadhwaan: Ingekuwa Laylatul-Qadr Inapatikana Mwaka Mzima

Ingekuwa Laylatul-Qadr Inapatikana Mwaka Mzima

Imaam Ibn Al-Qayyim  (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Ingelikuwa Laylatul-Qadr inapatikana mwaka mzima, ningelisimama kuswali mwaka mzima ili kuipata. Basi ufanyeje ikiwa inapatikana katika masiku kumi tu?

[Badaaiu Al-Fawaaid 1/55]