Skip to main content

Imaam Ibn Rajab: Ramadhwaan: Vipi Muumin Yasimtoke Machozi Kwa Kuondoka Ramadhwaan ?

Vipi Muumin Yasimtoke Machozi Kwa Kuondoka Ramadhwaan

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Vipi Muumini yasimtoke machozi kwa kuondoka Ramadhwaan na hali hajui kama amebakiwa na chochote katika umri wake kuirudia (Ramadhwaan ya mwaka ujao)? 

[Latwaaif Al-Ma’aarif 1/217]