Skip to main content

Imaam Ibn Taymiyyah: Athari Ya Tawhiyd Na Istighfaar Juu Ya Shirk Na Madhambi

Athari Ya Tawhiyd Na Istighfaar Juu Ya Shirk Na Madhambi

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:

"Tawhiyd inang'oa mizizi ya Shirk, na Istighfaar inaondosha matawi yake (madhambi madogo, shirk na kufr ndogo)."

[Majmuw' Al-Fataawaa, mj.11, uk.697]