Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fitnah Itaendelea Kuwepo Madamu Wana-Aadam Wangali Hai

Kauli Za Salaf: Manhaj

Fitnah Itaendelea Kuwepo Madamu Wana-Aadam Wangali Hai

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Imaan Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

"Madamu roho ya Bin-Aadam ipo katika kiwiliwili chake basi na fitnah itaendelea kuwepo."

[Sharhu Mumtwi’ Uk. (5/2388)]