Skip to main content

Imaam Maalik bin Anas - Watu Wa Bid'ah Ni Watu Waovu

Kauli Za Salaf

Watu Wa Bid'ah Ni Watu Waovu

Imaam Maalik bin Anas (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Maalik bin Anas (Rahimahu Allaah) aliulizwa kuhusu Watu wa Hawaa (Matamanio),

'je, wanasalimiwa?'

Akajibu:

"Watu wa Hawaa ni watu waovu, hawasalimiwi, na kutengana nao kunapendeka zaidi kwangu."

[Taariykh Ibn Ma'iyn, juz. 1, uk. 190].