Skip to main content

Imaam Sufyaan Ath-Thawriy: Mwanamke Kubaki Nyumbani Kwake Ni Vizuri Hata Kama Mzee

Kauli Za Salaf: Aadab-Maadili

Mwanamke Kubakia Nyumbani Kwake  Ni Vizuri Hata Kama Ni Mzee

Imaam Sufyaan Ath-Thawriy (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Amesema Imaam Sufyaan Ath-Thawriy (Rahimahu Allaah)

“Hakuna kizuri kwa mwanamke isipokuwa ni nyumba yake, hata kama mwanamke huyo ni ajuza (mzee).”

[At-Tamhiyd Limaa fiy Al-Muwatwa minal Ma’aaniy Wal-Asaaniyd (23/402)]