Skip to main content

Shaykh Fawzaan: Salafiyyah Ni Manhaj Ya Haki Tunawajibika Kuifuata

Kauli Za Salaf: Manhaj

Salafiyyah Ni Manhaj Ya Haki Tunawajibika Kuifuata 

Shaykh Swaalih Bin Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah) amesema:

Usalafi ni Manhaj ya haki ambayo tunawajibika kuifuata na kuacha manhaj nyinginezo zinazokwenda kinyume nayo.

[Al-Bayaan Li-Akhtwaa-i Ba'dhw Al-Kuttaab, uk. 42]