Wali Wa Samaki Na Mboga

VIPIMO VYA SAMAKI
Thomu iliyosagwa 1 Kijiko cha supu
pilipili mbichi iliyosagwa 1 Kijiko cha chai
Bizari ya manjano au ya pilau 1/2 Kijiko cha chai
Paprika ya unga au pilipili ya unga 1 kijiko cha chai
Chumvi Kiasi
Ndimu
Mafuta 3 Vijiko vya supu
Roweka samaki kwa viungo hivyo vyote kwa muda wa robo saa hivi.
Washa oven moto wa 400F.
Kisha weka samaki katika trea na choma kwa muda wa dakika 15 na weka moto wa juu dakika za mwisho ili ipate rangi nzuri.
Ikishaiva epua na itakuwa tayari kuliwa.
Gwaru (green beans) 1 LB Thomu iliyosagwa 1 kijiko cha supu Karoti 4-5 Chumvi Kiasi Bizari ya manjano 1/2 Kijiko cha chai Pilipili manga 1/4 kijiko cha chai Mafuta ya zaituni Kiasi
NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha


