Buns Za Sukari

Vipimo
Unga 3 Vikombe vya chai
Maziwa 1 Kikombe cha chai
Sukari ¼ Kikombe cha chai
Siagi ¼ Kikombe cha chai
Chumvi ½ Kijiko cha supu
Yai 1
Hamira 2 ¼ Vijiko vya chai (pakiti 1)
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
1. Katika kibakuli changanya sukari na ½ kikombe ya maziwa yaliyo vuguvugu, kisha tia hamira, koroga na iwache dakika 5 hivi.
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha


