Imaam Ibn Baaz: Inafaa Kutumia Simu Katika Kuunganisha Undugu Wa Uhusiano Wa Damu.

 

Inafaa Kutumia Simu Katika Kuunganisha Undugu Wa Uhusiano Wa Damu.

 

   Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

SWALI:

 

 

Je inafaa kuunga undugu wa uhusiano wa damu kupitia simu?

 

 

JIBU:

 

Naam, hii ni katika kuunganisha undugu wa uhusiano wa damu, mazungumzo ya simu na maandishi -SMS- hivi vyote ni katika kuunga undugu, kuwa mtu anaandika kumuandikia ndugu yake ama baba yake mdogo au jamaa yake yoyote yule, akiwa anamuulizia kuhusu afya yake ama hali yake kwa ujumla, ama akampigia simu na kuongea nae, hayo yote ni mambo mazuri na yote ni katika kuunganisha undugu.

 

[Fataawaa Imaam Ibn Baaz:  Nuwr ‘Ala Ad-Darb]

 

Share