Skip to main content
⌂
Alhidaaya.com homepage
slogan image
  • Log in

left sidebar menu

  • Qur-aan
  • Hadiyth
  • Sunnah
  • Tawhiyd
  • Aqiydah
  • Manhaj
  • Shirki & Kufru
  • Bid-'ah (Uzushi)
  • Salaf Wa Ummah
  • Firaq-Makundi
  • Fiqh-Ibaadah
  • Duaa-Adhkaar
  • Fataawa Za Ulamaa
  • Kauli Za Salaf
  • Akhlaaq-Aadaab
  • Raqaaiq
  • Familia-Jamii
  • Maswali-Majibu
  • Chemsha Bongo
  • Vitabu
  • Mapishi

23-Dalili Za Kheri Katika Mambo Yamfaayo Maiti: Kutangaza kifo kwa ajili ya maslaha

 

Kutangaza kifo kwa ajili ya maslaha:

Hakika kutangaza kifo cha Muislamu ni jambo lisilohimizwa kisheria, kutangazwa kifo cha Muislamu ni kwa haja kwa wale watakaomuosha, watakaomkafini, watakaomswalia na watakaomzika. Njia zinazoruhusiwa kisheria zitatumika kwa haja bila ya kuwepo kwa Taklifu yoyote kwa mfano: watu kujulishana huo msiba, au kwa njia ya simu kama ilivyo siku hizi, vile vile inajuzu kutumia vipaza sauti (microphone) kwa haja inayolazimu kama kutumika vijijini bila ya kuzidisha zaidi ya kutaja kifo chake na wakati wa kuswaliwa na mfano wa hayo.

Katika siku ambayo Mtume aliomboleza kifo cha Najashi siku aliyokufa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa Sallam) alikwenda katika mswala, akawapanga safu kisha akafanya takbir mara nne (Bukhari na Muslim)

Hali kadhalika alipoomboleza viongozi wa vita vya Mu’ta, Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa Sallam) alisema, “Zaid alichukua bendera kisha akauawa baada ya hapo akachukuwa Jaafar nae akauawa kisha akachukuwa Abdullah bin Rawaaha naye akauawa…” (Bukhari)


Book traversal links for Dalili Za Kheri Katika Mambo Yamfaayo Maiti

  • ‹ 22-Dalili Za Kheri Katika Mambo Yamfaayo Maiti: Kilio chenye kukubaliwa kisheria
  • Up
  • 24-Dalili Za Kheri Katika Mambo Yamfaayo Maiti: Kutangazwa kifo kwa lengo la kumuombea ›
moon-icon

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

  • Muharram
    image
    مُحَرَّمْ
  • Swafar
    image
    صَفَرْ
  • Rabiy’u Al-Awwal
    Rabiy’u Al-Awwal
    رَبيعُ الْأَوًّلْ
  • Rabiy'u Al-Aakhir
    Rabiy'u Al-Aakhir
    رَبيعُ الآخِرْ
  • Jumaadaa Al-Uwlaa
    image
    جُمَادَى الْأُوْلَى
  • Jumaadaa Al-Aakhirah
    image
    جُمَادَى الْآخِرَة
  • Rajab
    image
    رَجَبْ
  • Sha'baan
    Shabaan
    شَعْبَانْ
  • Ramadhwaan
    iocn
    رَمَضَانْ
  • Shawwaal
    image
    شَوّالْ
  • Dhul-Qa’dah
    image
    ذُو الْقَعْدَةْ
  • Dhul-Hijjah
    icon
    ذُو الحِجَّةْ
Alhidaaya.com homepage
  • Kuhusu Alhidaaya
  • Maoni Yako-Wasiliana Na sisi (Contact Us)
  • Tovuti Muhimu

© 2026 Alhidaaya.com All rights reserved.