Hadiyth Ya 23 - Kibri Ni Kanzu Yangu Na Utukufu Ni Joho Langu
Hadiyth Ya 23
Kibri Ni Kanzu Yangu Na Utukufu Ni Joho Langu
Atakayeshindana Nami Nitamuingiza Motoni
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ قَالَ هَنَّادٌ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: ((قَالَ اللَّهُ عَزَّ وَجَلَّ الْكِبْرِيَاءُ رِدَائِي وَالْعَظَمَةُ إِزَارِي فَمَنْ نَازَعَنِي وَاحِدًا مِنْهُمَا قَذَفْتُهُ فِي النَّارِ)) أبو داود, ابن ماجه و أحمد
Kutoka kwa Abu Hurayrahرضي الله عنه ambaye amesema kwamba Mtume صلى الله عليه وسلم amesema: ((Allaah Amesema: Kibri ni kanzu Yangu na utukufu ni joho Langu, yule ashindanaye na Mimi katika kimoja katika hayo nitamtia motoni)) [Abu Daawuud, Ibn Maajah na Ahmad]
- Login or register to post comments
- Email this page


